• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema kujitoa kwa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia kunaathiri usalama wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-09-18 08:56:40

    Makamu wa rais wa Iran Ali Akbar Salehi amesema kujitoa kwa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran kutaathiri vibaya amani na usalama wa kimataifa na kikanda.

    Bw. Salehi amesema kwenye mkutano mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Kimataifa IAEA, kuwa pingamizi la jumuiya ya kimataifa dhidi ya kujitoa kwa Marekani, sio tu limeonesha hasira yao dhidi ya sera ya upande mmoja ya Marekani bali pia wasiwasi wao na hali mbaya zaidi katika eneo husika lenye machafuko ya hapa na pale na tishio la ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako