• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Tanzania: TFF yasimamisha uchaguzi wa klabu ya Simba

    (GMT+08:00) 2018-09-18 09:24:40

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesitisha UCHAGUZI wa viongozi wa klabu ya Simba uliopangwa kufanyika Novemba 3, mwaka huu kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kukiukwa kwa baadhi ya taratibu za msingi.

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Revocatus Kuuli amesema kwamba miongoni mwa mapungufu hayo ni ada ya uanachama kwa ngazi ya Uenyekiti pamoja na Wajumbe kutofautiana, jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya klabu pamoja na TFF.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako