• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagere ndiye mchezaji bora wa mwezi Agosti

    (GMT+08:00) 2018-09-18 09:25:03

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Kagere amekuwa mchezaji wa kwanza katika msimu huu wa 2018/19 kushinda tuzo hiyo ambayo hutolewa kila baada ya mwezi mmoja.

    Straika huyo ameisaidia Simba kuibuka na alama 6 za Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya City huku akifunga mabao matatu.

    Kagere 'MK14' amewashinda Joseph Mahundi wa Azam na Omary Mponda wa Kagera Sugar walioingia tatu bora katika kuwania Tuzo hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako