• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Korea Kusini awasili mjini Pyongyang na kupokelewa na kiongozi wa Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2018-09-18 19:04:57

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amewasili mjini Pyongyang, Korea Kaskazini na kupokelewa na kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un.

    Viongozi hao wawili watafanya mazungumzo ya tatu kwa mwaka huu ndani ya siku tatu zijazo.

    Gazeti la chama tawala cha Korea Kaskazini limesema, mkutano huo uliotambuliwa kama ni utekelezaji wa azimio la Panmunjom, utahimiza maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako