• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Biashara haramu yaathiri sekta ya gesi Uganda

    (GMT+08:00) 2018-09-18 19:12:56
    Makampuni ya gesi nchini Uganda yanapoteza bidhaa yao kutokana na shughuli za magendo na wizi katika wilaya za Mayuge, Bugiri and Bugweri.

    Polisi wanasema vijana wanashirikiana na madereva kuiba gesi na baadaye kuiuza.

    Polisi wanasema biashara hiyo haramu hufanyika usiku na mchana vijana wakilenga kupata fedha za haraka lakini pia mamlaka zinachukua hatua kukomesha biashara hiyo

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako