• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping akutana na viongozi wa nchi nne wanaohudhuria baraza la Davos

    (GMT+08:00) 2018-09-19 09:52:58

    Rais Xi Jinping wa China kwa nyakati tofauti amekutana na rais Kersti Kaljulaid wa Estonia, rais Aleksandar Vucic wa Serbia, rais Raimonds Vejonis wa Latvijas na rais Tuilaepa Lupesoliai Sailele Malielegaoi wa Samoa ambao wanmekuja China kuhudhuria mkutano wa Baraza la Davos la majira ya joto katika Jumba la mikutano la umma, Beijing.

    Rais Xi amedhihirisha kwamba China inapendekeza kuunda jumuiya ya binadamu yenye hatima ya pamoja iliyo ya kuheshimiana, kutendeana kwa usawa, kusikilizana kwa kuheshimu uwepo wa tofauti kati yao, na kufanya ushirikiano wa kunufaishana. China inaunga mkono mchakato wa mafungamano ya kiuchumi wa Ulaya, pia inapenda kuimarisha ushirikiano na Ulaya, na kujenga kwa pamoja uchumi wa dunia wa kufungua mlango.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako