• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatua mpya ya Marekani kuhusu kutoza ushuru kwa bidhaa za China yaonesha vya kutosha utaratibu wa upande mmoja na umwamba

    (GMT+08:00) 2018-09-19 09:55:50

    Aliyekuwa naibu waziri wa fedha wa China ambaye yupo Brussels, Ubelgiji, kushiriki Kongamano kuhusu uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China, Marekani na Ulaya Bw. Zhu Guangyao amesema, hatua mpya inayochukuliwa na Marekani kuhusu kutoza ushuru kwa bidhaa za China zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 200 inaonesha vya kutosha utaratibu wake wa upande mmoja na umwamba.

    Bw. Zhu amesisitiza kuwa, China ambayo ni mshiriki, mjenzi, mlinzi na mchangiaji muhimu katika utaratibu wa uchumi wa kimataifa, imetoa mchango muhimu katika utaratibu wa uchumi wa kimataifa, badala ya kujenga utaratibu mwingine. Marekani ambayo ni mwongozaji wa ujenzi wa utaratibu huo, sasa inauharibu vibaya zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako