• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatma ya Kesi ya viongozi wa klabu ya Simba kuamuliwa Oktoba 2

    (GMT+08:00) 2018-09-19 10:17:00

    Nchini Tanzania, Mahakama imepanga kuwa Oktoba 2 ndiyo itaamua hatma ya kesi inayowakabili viongozi wawili wa klabu ya Simba FC, Evans Aveva na Geoffrey Nyange.

    Uamuzi huo utakuwa eidha kuendelea na kesi hiyo au kuifuta na hii kutokana na wakili wa utetezi kuiomba mahakama kufuta kesi hiyo kwa madai kuwa haina vielelezo vya mwendelezo.

    Viongozi hao wawili wanakabiliwa na kesi za kula njama, kugushi na matumizi mabaya ya madaraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako