• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Wachezaji wawili wa Rwanda kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa Ulaya

    (GMT+08:00) 2018-09-19 10:17:21

    Wachezaji wawili wa ligi kuu ya Rwanda, Yannick Mukunzi wa klabu ya Rayon Sport na Bernade Mubumbyi wa klabu ya Bugesera, wamesafiri jana kwenda nchini Sweden ambako huko watafanya majaribio ya kuchezwa soka la kulipwa katika klabu ya Sundvikens inayoshiriki ligi daraja la pili.

    Kabla ya kujiunga na APR, Mukunzi amewahi kucheza katika klabu ya APR na akifanikiwa kupata mataji mengi, lakini mwenzake Mubumbyi pia alicheza katika klabu za APR na AS Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako