• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza tena ahadi ya njia ya amani ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2018-09-19 18:53:51

    Rais Xi Jinping wa China amesema nchi yake itachukua njia ya amani ya maendeleo bila kusita, na itaendelea kuwa mjenzi wa amanii ya dunia, mchangiaji wa maendeleo ya dunia na mlinzi wa utaratibu wa kimataifa.

    Rais Xi amesema hayo leo huko Nanjing katika barua yake ya pongezi katika shughuli za kumbukumbu ya Siku ya Kimataifa ya Amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako