• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yaitoza Gor Mahia faini ya Sh500,000 kwa kuzua ghasia Kasarani

    (GMT+08:00) 2018-09-20 09:37:45

    Mabingwa mara 17 wa ligi kuu nchini Kenya Gor Mahia wamepigwa faini ya shilingi 500,000 za Kenya na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kutokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wa timu hiyo katika mechi yao na Rayon Sports ya Rwanda kwenye uwanja wa MISC Kasarani Agosti 2018.

    Afisa Mkuu Mtendaji wa Gor Mahia Omondi Aduda amethibitisha kupokea barua hiyo kutoka kwa CAF na kuwataka mashabiki kutorudia makosa kama hayo siku zijazo ili kuepusha klabu dhidi ya kukumbana na faini kama hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako