• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • GOFU: Michuano ya Gofu "Uganda Open" yaanza

    (GMT+08:00) 2018-09-20 09:38:08

    Mashindano ya kimataifa ya mchezo wa gofu yajulikanayo kama Uganda Open yameanza katika viwanja vya Entebbe nchini Uganda kwa kushirikisha wachezaji zaidi ya 150 toka Kenya, Tanzania, Zambia, Rwanda, Burundi, Afrika Kusini, Zimbabwe na wenyeji Uganda.

    Jumamosi iliyopita Tanzania ilitwaa ubingwa wa mashindano ya wanawake ya Uganda Open baada ya mchezaji Neema Olomi kushinda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako