• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO yatangaza mpango wa uwekezaji wa kuokoa watu 30 katika miaka mitano ijayo.

    (GMT+08:00) 2018-09-20 12:18:45

    Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza mpango wa kwanza wa uwekezaji unaohitaji dola za kimarekani bilioni 14.1 katika miaka mitano ijayo, ili kuokoa maisha ya watu milioni 30 kote duniani. WHO imekadiria kuwa fedha hizo zitajumuisha bajeti ya msingi ya dola bilioni 10, msaada wa kibinadamu wa dola 2.5 na dola bilioni 1.6 zikiwa zitatumiwa kutokomeza ugonjwa wa polio. Imeelezwa kuwa fedha hizo zitasaidia kuokoa maisha ya watu milioni 30 na kuleta ukuaji wa uchumi katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati, kabla ya mwaka 2023.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako