• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege ya kivita ya Russia yaanguka

    (GMT+08:00) 2018-09-20 12:20:09

    Ndege ya kivita ya MiG-31 ya Russia imeanguka mkoani Nizhny Novgorod magharibi mwa nchi hiyo ambapo marubani walifanikiwa kuruka salama. Wizara ya Ulinzi ya Russia imenukuliwa ikisema ndege hiyo iliruka bila kuwa na silaha na iliangukia katika eneo lisilo na makazi na kutosababisha uharibifu ardhini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako