• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zimbabwe afanya mabadiliko ya makatibu wakuu

    (GMT+08:00) 2018-09-20 18:28:56

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu kwa kuteua wengine wapya, kuwabadilisha wizara, na kuwaondoa wengine, kwa lengo la kuboresha utendaji wa serikali yake mpya.

    Kuhusu makatibu wakuu, rais Mnangagwa amemteua George Charamba kuwa kaimu katibu mkuu wa idara ya mawasiliano ya ikulu, pia ameteua makatibu wakuu wengine 18, kuwabadilisha vituo wengine 19, na kuwastaafisha wanane.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako