• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yachunguza hatua za kuzisaidia kampuni kukabiliana na kuongezeka kwa ushuru

    (GMT+08:00) 2018-09-20 18:29:15

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng leo amesema, China inachunguza hatua za kusaidia asilimia 50 ya kampuni zake zenye mitaji nje ya nchi ambazo huenda zikaathiriwa na hatua ya Marekani ya kuongeza ushuru kwa bidhaa za China.

    Bw. Gao Feng amesema, hatua za Marekani za kujilinda kibiashara kwa upande mmoja siyo tu zinaathiri maslahi ya kampuni na wateja wa China na Marekani, pia zinaathiri usalama wa mzunguko wa uzalishaji na utoaji kote duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako