• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Mambo ya nje wa China asifu kusaini azimio la pamoja la Pyongyang

    (GMT+08:00) 2018-09-20 19:00:10

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema anaunga mkono azimio la Pyongyang lililofikiwa baada ya mkutano kati ya viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini.

    Bw. Wang Yi amesema, kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un na rais Bw. Moon Jae-in wa Korea Kusini jana walisaini azimio la Pyongyang, ambalo ni baraka ya watu wote wa peninsula ya Korea na pia ni matarajio ya watu wa nchi mbalimbali ikiwemo China.

    Bw. Wang Yi amesema uhusiano kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini unatimiza kuboreshwa na kuendelea kwa pande zote, na pande hizo mbili zimejitahidi kuifanya peninsula ya Korea kuwa sehemu ya amani ya kutokuwa na silaha za nyuklia na kutokuwa na tishio la kijeshi,

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako