Mbali na ushuru wa asilimia 8 kwa petroli,serikali inapania kupata ushuru wa zaida kutoka kwa huduma za simu za mkononi, ,na hata mafuta taa.
Waathiriwa wakuu wa ushuru huu mpya watakuwa ni watu wanaoishi maeneo mashinani pamoja na wa watu walioajiriwa na kampuni ama na serikali.
Pendekezo la ushuru huo mpya litakata asimia 0.5 na asilimia 1.5 kwa wafanyikazi na waajiri wao
Wakenya huenda wakapata wakati mgumu zaidi wa kukabiliana na maisha ambayo mwaka huu tayari yamekuwa magumu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |