• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Rais Uhuru apinga nyongeza ya nauli kwa uchukuzi wa umma

    (GMT+08:00) 2018-09-20 19:49:00
    Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo dhidi ya wahudumu wa uchukuzi wa umma kuongeza nauli kwa wateja.

    Agizo hili linajiri kufuatia ushuru mpya wa asilimia 8 kwa petroli.

    Kwa mujibu wa mwenyekiti wa muungano wa matatu Simon Kimutai ,ni kwamba halmashauri ya usalama wa barabarani haina uwezo wa kupanga ratiba ya bei mpya.

    Amesisitiza kwamba nauli zitalazimika kupanda kufuatia ongezeko la bei ya petroli.

    Wahudumu hao wameongeza nauli kwa asilimia 20 licha ya Uhuru kupunguza ushuru mpya kutoka asilimia 16 hadi 8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako