Misaada hii itatumika kujenga miradi ya kilimo,miundo msingi,ugatuzi wa huduma,elimu na ukuwaji wa kiuchumi.
Waziri wa fedha Uzziel Ndagijimana ameahidi kuwekeza zaidi katika uzalishaji ili kumaliza ukosefu wa chakula .
Benki ya dunia pekee imetoa franki bilioni 22.6 za kilimo pamoja uimarishaji wa sekta ya ujenzi .
Miradi ya chakula itafanywa katima maeneo ya Rulindo, Rwamagana, Karongi, Rutsiro, Kayonza, Nyanza, Gatsibo na Nyabihu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |