• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki yatangaza mpango wa kiuchumi

    (GMT+08:00) 2018-09-21 08:20:44

    Uturuki imetangaza mpango wa kipindi cha katikati kwa ajili ya miaka mitatu ijayo ya kuanzia mwaka 2019 hadi mwaka 2021. Mpango huo wenye kauli mbiu ya "utulivu, nidhamu na mageuzi" unalenga kupunguza mfumuko mkubwa wa bei na kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira, na pia kukuza uchumi wakati thamani za fedha yake inaporomoka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako