• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MASHINDANO YA BAISKELI: Watano kuwakilisha Rwanda mashindano ya Grand Prix Chantal Biya

    (GMT+08:00) 2018-09-21 10:40:26

    Kocha wa timu ya taifa ya waendesha baiskeli Sempoma Felix ametangaza wachezaji watano watakaoenda nchini Cameroon katika shindano la mbio za baiskeli zinazojulikana kama Grand Prix Chantal Biya.

    Shindano hilo litaanza Septemba 26 hadi 30 mwezi huu ambalo ni la kila mwaka na limepewa jina la mke wa rais wa Cameroon Paul Biya lilianzishwa mwaka 2011.

    shindano hilo litakuwa na sehemu tano ambazo ni

    Sehemu 1: itakuwa mjini Douala ambapo ni la kilomita 92

    Sehemu 2: litaanzia mjini Yaounde-Nanga- na kumalizikia mjini Eboko, 152 km

    Sehemu 3: mjini Yaounde – Ebolowa, 151 km

    Sehemu 4: mjini Samgmelima – Meyomessala, 134 km

    Sehemu 5: mjini Sangmelima – Yaounde, 170 km

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako