• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MASUMBWI: Joshua yuko tayari kwa pambano Jumamosi Wembley na Povetkin

  (GMT+08:00) 2018-09-21 14:15:57

  Bondia Anthony Joshua amesema yuko fiti na tayari kwa pambano na mpinzani wake toka Urusi Alexander Povetkin katika pambano la ndondi litakalopigwa uwanja wa Wembley mjini London Uingereza kesho.

  Pambano hilo linatarajiwa kuwa lakuvutia kutokana na sifa za mabondia wote wawili, na kuvuta hisia za watu wengi mbali na mashabiki wao kwenye mitandao ya kijamii kila upande ukiweka tambo mbalimbali ikiwemo picha za vikaragosi vikiashiria tambo hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako