• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zambia asema China ni mwenzi mkubwa wa ushirikiano wa Zambia

    (GMT+08:00) 2018-09-22 21:04:13

    Rais Edgar Lungu wa Zambia jana amesema, China ni mwenzi mkubwa wa ushirikiano wa Zambia, na mradi wa utoaji wa maji wa Kafulafuta uliojengwa na China kwa msaada wa kifedha wa China utawanufaisha wazambia.

    Rais Lungu amesema hayo wakati aliposhiriki kwenye uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa Kafulafuta. Amesema mradi huo utatoa maji safi ya kunywa kwa wakazi wa karibu, pia utaleta nafasi nyingi za ajira na fursa nyingi za biashara. Mradi huo umeungwa mkono na serikali ya China na kampuni za China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako