• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pakistan yasikitishwa na India kufuta mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje kati ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2018-09-23 16:36:42

    Waziri mkuu wa Pakistani Bw, Imran Khan ametoa taarifa kwenye Twitter kwamba kitendo cha India kuondoa mazungumzo ya mawaziri wa mambo ya nje kati ya nchi hizo mbili ni kiburi na anasikitishwa na majibu yasiyofaa kutoka India.

    Taarifa hiyo imesema kuwa waziri mkuu wa Pakistani amekubali wito wa wahusika wa kiujenzi na kupendekeza kufanya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje huko New York kujadili suluhisho la masuala yanayohusiana na nchi hizo mbili na Asia Kusini.

    Msemaji wa waziri wa mambo ya nje wa India Bw. Raveesh Kumar akitangaza kufutwa kwa mkutano huo, amesema kwamba askari watatu wameuawa na Wapakistani huko Kashmir-Jammu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako