• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Israel yakanusha shutuma za Russia kuhusu kutungua ndege nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-09-24 08:59:11

    Jeshi la Israel limepinga matokeo ya wizara ya ulinzi ya Russia yanayoishutumu Israel kutungua ndege ya Russia nchini Syria.

    Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Russia Bw. Igor Konashenkov amesema Israel ilitoa habari ya uongo na kutumia ndege ya Ilyushin I1-20 ya Russia kama ngao dhidi ya makombora ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Syria.

    Ndege hiyo iliyobeba watu 15 ilitunguliwa kwa kombora la Syria wakati Israel inafanya shambulizi la anga dhidi ya mkoa wa Latakia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako