• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima wa China washerehekea sikukuu ya taifa ya mavuno

    (GMT+08:00) 2018-09-24 09:17:43

    China kwa mara ya kwanza imesherehekea sikukuu ya taifa ya mavuno, na siku ya katikati ya majira ya mpukutiko.

    Siku ya katikati ya majira ya mpukutiko ni moja ya siku 24 zilizopo kwenye kalenda ya kilimo ya China, na mara nyingi huangukia kati ya tarehe 22 na 24 Septemba. Mapema mwaka huu siku hii iliandaliwa mahsusi kwa wakulima kusherehekea mavuno yao mapema.

    Wakulima katika sehemu mbalimbali za China wamesherehekea sikukuu hiyo kwa shughuli mbalimbali, kama vile mashindano ya ujuzi mbalimbali, kuonyesha bidhaa zao kwenye matamasha na maonyesho ya bidhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako