• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Juncker wa Umoja wa Ulaya asema utaratibu wa pande nyingi unatakiwa kuwa na nafasi

    (GMT+08:00) 2018-09-24 09:19:37

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Bw. Jean-Claude Juncker amesema utaratibu wa pande nyingi unatakiwa kuwa na nafasi. Akizungumza na waandishi wa habari na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres, Bw. Juncker amesema ufumbuzi wa utaratibu wa pande nyingi haujafa na unatakiwa kudumishwa, kwani hii ni fursa pekee ya kuumba dunia ya siku za baadaye kwa njia inayokubaliwa na wadau wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako