• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Serikali kukusanya hadi sh bilioni 48 kila mwaka kutoka kwa kodi ya nyumba

    (GMT+08:00) 2018-09-24 20:33:16

    Waajiri wanatarajiwa kuwasilisha punguzo kwa Mfuko wa Taifa wa Maendeleo ya Nyumba (NHDF) kila mwezi mara tu kanuni zitachapishwa.

    Kodi ya nyumba inatarajiwa kufadhili miradi mikubwa minne ya serikali ya nyumba za bei nafuu.

    Kuchelewa kutoa mchango huo, kwa wakati basi hutavutia adhabu ya asilimia 5 ya michango inayolipwa na mwajiri kwa kila mwezi.

    Michango imewekwa kutimiza ndoto ya Rais Uhuru Kenyatta ya miradi minne mikubwa ambayo inaahidi kutoa nyumba 500,000 katika miaka mitano kati ya ahadi nyingine.

    Hivi sasa, Kenya inahitaji vitengo vya makazi zaidi ya 250,000 kila mwaka ili kukidhi mahitaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako