• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda imeweka mapato yake na mishahara chini ya asilimia 18 ya bajeti

    (GMT+08:00) 2018-09-24 20:38:02

    Rwanda imeweka mapato yake na mishahara chini ya asilimia 18 ya bajeti, kama sehemu ya kukata gharama za kuendesha taasisi za serikali.

    Rwanda imeomba sana katika miaka ya hivi karibuni kufadhili mipango ya miundombinu, na kuchangia kuongezeka kwa madeni ya umma nje ya asilimia 37.5 ya Pato la Taifa mwaka 2017 kutoka asilimia 16.4 mwaka 2012.

    Uchambuzi unaonyesha Rwanda haija sumbuliwa sana na madeni, kulingana na Shirika la Fedha Duniani.

    Hata hivyo,Rwanda iliongeza matumizi yake ya bajeti kwa asilimia 7 katika mwaka wa fedha 2017/18 hadi dola bilioni 2.58.

    Asilimia 17 tu ya bajeti yake ndiyo inafadhiliwa na wafadhili, wakati karibu franc bilioni 362.8 imeombwa kutoka kwa wafadhili wa nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako