• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump kukutana na Kim kwa mara ya pili hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2018-09-25 08:48:06

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema mkutano wake wa pili na kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un unatazamiwa kufanyika hivi karibuni katika sehemu tofauti na ya kwanza. Amesema waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo ameanza kazi za maandalizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako