• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha, Marathon: Saina wa Kenya aweka rekodi mpya Marathon Argentina

    (GMT+08:00) 2018-09-25 08:56:46

    Emmanuel Saina wa Kenya amefanikiwa kuweka rekodi mpya katika mashindano ya mbio za kilomita 42 baada ya kutwaa taji la Buenos Aires Marathon nchini Argentina akitumia saa 2 dakika 05 na sekunde 21.

    Saina mwenye umri wa miaka 26, na ambaye hakuwa ameshiriki mashindano yoyote ya marathon, aliongoza kutoka mwanzo hadi utepeni katika mbio hizi zilizovutia zaidi ya washiriki 9, 000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako