• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuogelea, Tanzania: Taliss-IST yatwaa ubingwa wa Taifa

    (GMT+08:00) 2018-09-25 08:57:03

    Klabu ya kuogelea ya Taliss-IsT imefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya wazi ya kuogelea ya taifa nchini Tanzania, yaliyofanyika mjini Dar es Salaam.

    Klabu hiyo imetwaa ubingwa huo kwa kupata pointi 2,700 na kuzishinda klabu nyingine saba zilizoshiriki mashindano hayo.

    Alama hizo za Taliss zilipatikana kupitia waogeleaji wa kike waliopata 1,444 na wanaume pia amabo waliongoza na kupata pointi 1,156.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako