• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China ahudhuria mkutano usio wa kawaida wa mawaziri wa nchi za Asia

    (GMT+08:00) 2018-09-25 09:12:25

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana huko New York alihudhuria mkutano usio wa kawaida wa mawaziri wa nchi wanachama wa Mkutano wa Maingiliano na Hatua za Kujenga Hali ya Kuaminiana katika Asia Asia CICA, uliohudhuriwa na mawaziri na wajumbe zaidi 20.

    Bw. Wang Yi amesema tangu China iwe nchi mwenyekiti wa Mkutano huo mwezi Mei mwaka 2014, imekuwa ikihimiza mchakato wa Mkutano huo kupata maendeleo mapya. Mawazo ya ushirikiano wa kiusalama kwenye Mkutano huo yameongezeka, makubaliano juu ya kuaminiana na uratibu yamekusanywa zaidi, na kiwango cha hatua za kujenga hali ya kuaminiana kimepanda juu, na mtandao wa uhusiano wa kiwenzi umepanuliwa zaidi.

    Bw. Wang Yi alitangaza kuwa China itakabidhi uenyekiti wa mkutano huo kwa Tajikistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako