• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za rambirambi kutokana na ajali ya kivuko cha Mv Nyerere

    (GMT+08:00) 2018-09-25 10:18:02

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Tanzania John Magufuli kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere ambayo hadi sasa imesababisha vifo vya watu 226.

    Naye waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang pia ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa kutokana na ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako