• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya maendeleo ya China (CDB), yawekeza zaidi ya dola bilioni 50 Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-25 18:59:17

    Benki ya maendeleo ya China (CDB), ambayo ndio taasisi kubwa zaidi la maendeleo duniani hadi sasa limefadhili uwekezaji wa zaidi ya dola bilioni 50 katika nchi za Afrika.

    Msemaji wa benki hiyo ambaye pia ni mchumi mkuu Liu Yong amesema fedha hizo zimetumika kufadhili miradi 500 katika nchi 43 za Afriika.

    Liu amesema baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na kwenye sekt aya mawasiliano, madini, miundo msingi na utengenezaji bidhaa.

    Aidha CBD imetoa mikopo maalum ya dola bilioni 6inayolenga biashara ndogo na za wastani katika nchi 32 barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako