• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Dalbit Petroleum yapata zabuni ya kuza mafuta ya ndege kwa WFP

    (GMT+08:00) 2018-09-25 19:00:25

    Kampuni ya Kenya Dalbit Petroleum, ambayo inahusika na bishara ya kusambaza mafuta imeshinda zabuni ya shilingi milioni 796 ya kuuza mafuta kwa vituo vya umoja wa Mataifa kaskazini mwa Uganda na Jamhuri ya kidemoktrasia ya Congo.

    Ofisi ya kampuni hiyo mjini Juba imesema imepata tenda ya kuuza mafuta ya ndege kwenye shirkka la Umoja wa mataifa la chakula duniani WFP.

    Itauzia mafuta ndege za shirika hilo katika viwanja vya Gulu nchini Uganda na Goma DRC.

    Kampuni hiyo imesema kwenye taarika kwamba imejenga hifadhi ya mafuta ya lita 720 mjini Gulu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako