• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Spika wa bunge jipya la Iraq athibitisha Oktoba, 2 kuwa siku ya mwisho ya kuchagua rais

    (GMT+08:00) 2018-09-26 09:22:04

    Spika wa bunge jipya la Iraq Mohammed al-Halbousi amethibitisha kuwa wabunge wanatakiwa kuchagua rais kabla ya Oktoba, 2 kwa mujibu wa katiba ya Iraq.

    Mapema jana, bunge la Iraq liliitisha kikao bila kuweka uchaguzi wa rais mpya kuwa ajenda kutokana na mgawanyiko mkubwa kati ya makundi ya kisiasa ya kikurdi yaliyoshindwa kuafikiana kuhusu mgombea mmoja kwa nafasi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako