• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TFF yasaka mbunifu wa nembo ya AFCON

    (GMT+08:00) 2018-09-26 09:52:06

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza shindano kwa ubunifu wa Nembo maalumu (Official Mascot) itakayotumika katika fainali za vijana U17 zitakazofanyika mwakani nchini Tanzania.

    Afisa habari na mawasiliano wa shirikisho hilo, Clifford Mario Ndimbo amesema wabunifu watakaofanya vizuri katika zoezi hilo litakalofanyika kwa siku nane kuanzia jana wataitwa kwa hatua inayofuata ya usaili wa mwisho.

    Tanzania ndiyo wenyeji wa mashindano ya Afrika ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 hapo mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako