• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mechi za Kombe la ligi Uingereza: Man United yafungwa

    (GMT+08:00) 2018-09-26 09:52:47

    Kwenye mechi za kombe la ligi zilizofanyika jana nchini Uingereza, Manchester United imeondolewa kwenye mashindano hayo kwa njia ya penati 7-8 baada ya kupata sare ya 2-2 kwenye muda wa kawaida na Derby County.

    Licha ya United kuonyesha uhai kwenye dakika za lala salama za mechi hiyo, bado haikusaidia kwani waliambulia goli la kusawazisha lililofungwa na Maroune Fellaine kunako dakika ya 95.

    Katika mechi zingine zilizopigwa jana, matokeo yalikuwa kama ifuatavyo.

    AFC Bournemouth 3 - 2 Blackburn Rovers

    Blackpool 2 - 0 Queens Park Rangers

    Burton Albion 2 - 1 Burnley

    Millwall 1 - 3 Fulham

    Oxford United 0 - 3 Manchester City

    Preston North End 2 - 2 Middlesbrough *

    Wolverhampton Wanderers 0 - 0 Leicester City *

    Wycombe Wanderers 3 - 4 Norwich City

    Manchester United 2 - 2 Derby County *

    West Bromwich Albion 0 - 3 Crystal Palace

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako