• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Dwyane Wade atangaza kustaafu kikapu

    (GMT+08:00) 2018-09-27 08:18:14
    Nyota wa mpira wa kikapu nchini marekani Dwyane Wade anayeichezea Miami Heat amesema huu ni msimu wa mwisho kwake kucheza mechi za Ligi ya Mpira wa Kikapu ya nchi hiyo (NBA).

    Jumapili iliyopita, Wade aliachia picha za video zinazomuonesha akisema amerejea Miami Heat kucheza msimu wake wa 16 na wa mwisho katika NBA.

    Wade mwenye umri wa miaka 36 anaongoza kwa rekodi katika kikosi cha Miami Heat akiwa amefunga pointi nyingi, 'assist' nyingi na mechi nyingi pia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako