• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Hispania: Real Madrid yachezeshwa mchakamchaka, Barca nao hoi

    (GMT+08:00) 2018-09-27 08:19:11
    Wakiwa na mchezaji bora wa dunia, Luka Modric, Real Madrid wamekubali kusalimu amri kwa kupokea kipigo cha 3-0 toka kwa Sevilla katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania (La Liga) usiku wa jana kwenye uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla.

    Nayo Barcelona mbele ya nahodha wake Lionel Messi wamechapwa 2-1 na Leganes mchezo uliopigwa uwanja wa manispaa wa Butarque mjini Leganes. Nayo Valencia CF imetoka sare ya 1-1 na Celta Vigo, huku Athletic Bilbao ikikubali kipigo cha 3-0 toka kwa Villarreal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako