• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Pompeo kufanya ziarani nchini Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2018-09-27 08:39:47

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo atafanya ziara nchini Korea Kaskazini mwezi ujao ili kufanya maandalizi ya mkutano wa pili kati ya viongozi wa nchi hizo mbili. Ziara hiyo itafanyika kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako