• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wasema kutimiza utandawazi wa viwanda endelevu ni muhimu zaidi kwa mafanikio ya eneo la biashara huria la Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-27 17:21:38

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi. Amina Mohamed amesema, kutimiza utandawazi wa viwanda endelevu ni muhimu zaidi kwa mafanikio ya eneo la biashara huria barani Afrika.

    Bi. Amina Mohamed amesema hayo jana kwenye mkutano kuhusu kuhimiza maendeleo ya viwanda barani Afrika. Amesema kutimiza aina nyingi za uchumi wa Afrika ni muhimu kwa kuhimiza ongezeko endelevu la uchumi, kuimarisha uwezo wa kufufua soko, na kukabiliana na athari kwa uchumi.

    Wakati huo huo, Bi. Amina Mohamed amesema, ni muhimu kutimiza maendeleo shirikishi, na kuonesha umuhimu wa wanawake na vijana katika mchakato wa kutimiza utandawazi wa viwanda endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako