• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia:Ethiopia inaongoza sekta ya Hoteli Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-09-27 19:51:13

    Ethiopia inaongoza katika maendeleo ya hoteli katika ukanda wa Afrika Mashariki.

    Utafiti huu umetolewa na shirika moja la Nigeria lililoeleza kuwa huduma za utalii nchini Ethiopia zimepanda kwa asilimia 50.

    Ethiopia imeishinda Kenya kaika orodha hiyo kutokana na uandaaji wa mikutano ya kimataifa,mabalozi na watalii.

    Trevor Ward mkurugenzi wa sekta ya hoteli nchini Ethiopia amesema nchi hiyo imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya maendeleo ya utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako