• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mombasa:Meli 22 za mizigo kuwasili bandarini wiki 2 zijazo

    (GMT+08:00) 2018-09-27 19:55:16

    Meli 22 za mizigo zinatarajiwa kuwasili katika bandari ya Mombasa katika mda wa wiki 2 zijazo.

    Kuwasili kwa mei hizi kunaonyesha ukuwaji wa shughuli za bandari kufuatia oparesheni za reli ya kisasa ya SGR.

    Utafiti unaonyesha kwamba treni nane husafirisha mizigo kila siku .

    Wiki hii,meli 10 zimetia nanga bandarini kabla ya mizigo kupakuliwa na kusafrishwa katika nchi za Afrika Mashariki Uganda ikiwa ndio mteja mkuu ikifuata na Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako