• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Huduma ya umeme kupanda kwa asilimia 70.

    (GMT+08:00) 2018-09-27 19:55:34

    Huenda huduma ya umeme ikapanda kwa asilimia 70 kufuatia kupanda kwa ushuru wa mafuta.

    Tume ya mafuta nchini Kenya imesema wakenya watalazimika kulipia fedha zaidi kwa huduma hiyo kwa ajili ya kulipia miradi mikubwa ya kuzalisha umeme inayoendelea .

    Kwa sasa tume hiyo itasitisha baadhi ya miradi hiyo kupunguza gharama.

    Ripoti ya tume hiyo inaonyesha kwamba katika mda wa miaka 6 ijayo uzalihsjai utafikia asilimia 43 na ada kufikia asilimia 70.

    Baadhi ya miradi hiyo ya kawi ni pamoja na mradi wa kawi wa Lamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako