• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa nchi 48 waunga mkono kampeni ya mkuu wa UM dhidi ya udhalilishaji wa kingono

    (GMT+08:00) 2018-09-28 08:39:24

    Viongozi wa nchi 48 na mashirika 22 ya Umoja wa Mataifa wamesaini taarifa ya pamoja ya kuunga mkono kampeni iliyotolewa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres dhidi ya ukatili na udhalilishaji wa kingono katika mfumo wa Umoja wa Mataifa, haswa katika operesheni zake za kulinda amani. Viongozi hao wameahidi kushirikiana na Bw. Guterres kutekeleza sera yake ya kutovumilia hata kidogo vitendo hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako