• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa "Wanawake Barani Afrika" waanza Morocco

    (GMT+08:00) 2018-09-28 08:39:48

    Mkutano wa pili wa mpango wa "Wanawake Barani Afrika" umeanza mjini Marrakech, Morocco, chini ya kauli mbiu ya "Angalia Afrika kwa imani, na kuamini vipaji vyake". Mkutano huo umehudhuriwa na watu karibu 400 kutoka nchi 70, na wazungumzaji 50 wa Afrika na kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako