• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya Scangroup yapanua oparesheni zake Nigeria

    (GMT+08:00) 2018-09-28 19:55:26

    Kampuni ya kutoa huduma za mauzo kwa vyombo vya habari Scangroup imepanua biashara zake hadi nchini Nigeria kwa kutumia tawi lake nchini humo Ogily. Mkurugenzi mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Bw Bharat Thakrar amesema Ogily Nigeria imejitolea katika kunasa soko la Afrika magharibi ikiwemo kutoa huduma kwa wateja wake wengi nchini Nigeria. Ogily ilikuwa ikishirikiana na kampuni ya Prima Garnet Communications Limited lakini ushirikiano huo ulikatizwa baada ya mahakama kuingilia kati na kutatua tofauti zilizokuwepo mwaka wa 2017. Fiona Uwagwu ameteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa oparesheni za kampuni hiyo nchini Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako